fB insta twitter

Alichoandika Waziri Nape Nnauye kuhusu mwimbaji Alikiba

on

Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Nape Nnauye anafatilia kila kinachoendelea kwenye idara ya sanaa ambapo ameona pia kilichotokea kwa mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba weekend hii aliyekabidhiwa tuzo yake ya MTV EUROPE huko Johannesburg South Africa.

Baada ya kuona hiyo habari kubwa ya Alikiba, Waziri Nape Nnauye aliandika kwenye page yake ya Twitter >>> Kiba! Big Up! Am so proud of you! We ni mmoja wa wasanii wanaonifanya nijisikie fahari kuwa Waziri wa Sanaa Tanzania! May allah bless you!

“Nimepata amani ya moyo sababu sipendi malalamiko” – ALIKIBA TAZAMA HAPA CHINI

VIDEO: Alikiba alivyohojiwa na Radio Vow FM ya South Africa, TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments