Mix

VIDEO: Alichoongea Nape Nnauye kwa mara ya kwanza toka avuliwe Uwaziri

on

Nape Nnauye amezungumza na Waandishi wa habari akiwa juu ya gari lake leo maeneo ya St. Peter Osterbay Dar es salaam ikiwa ni saa chache kabla ya taarifa kutoka IKULU kutangaza kwamba nafasi yake ya Waziri wa Habari amepewa Dr. Mwakyembe, hii video hapa chini ni sehemu tu ya ilivyokua

FULL VIDEO: Ripoti ya kamati ya Waziri Nape Nnauye kuhusu ishu ya Mkuu wa mkoa Paul Makonda, bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments