Mix

Tweet ya mwaka 2016 iliyomkasirisha Waziri Nape Nnauye

on

Waziri Nape Nnauye amekasirishwa na kitendo cha watu kuchukua Tweet aliyoindika mwaka 2016 kwenye mtandao wake wa kijamii wa Twitter.

Leo ilibidi aandika >>>> “Hii Tweet ni ya tarehe 10/11/2016, mnapoichukua leo na kuifanya inauhusiano na sakata la madawa ya kulevya, ni kwa faida ya nani?!! UNAFIKI!”

VIDEO: Simu Mstaafu Jakaya Kikwete aliyompigia Ridhiwani baada ya kuona picha yake na Lowassa

Soma na hizi

Tupia Comments