Habari za Mastaa

Video: Nikk wa Pili on air with Millard Ayo… hajaacha kitu kwenye hii

on

Nikki wa II ni rapper mwenye headlines zake ndani ya hiphop Tanzania na hits zake kama ‘kiujamaa’ na ‘nje ya box’ ambapo time hii alitembelea TZA kwenye studio za Millard Ayo na kufanya Exclusive Interview kwa kuelezea pia maisha yake ambayo wengi hawayajui, bonyeza play kwenye hii video yake hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE. 

Soma na hizi

Tupia Comments