AyoTV

VIDEO: Moto uliowaka kwenye jengo la NSSF Water Front DSM

on

Saa saba mchana iliripotiwa habari ya moto katika jengo la NSSF Waterfront ambapo ni bajaji ndiyo ilikua inaungua na kusababisha moshi mkubwa ambao ulikua unatoka nje ya jengo kutoka chini kwenye sehemu ya kupaki magari.

AyoTV imefika kwenye eneo hilo na kukusanyia yafuatayo.

Soma na hizi

Tupia Comments