Mix

Wizara ya Nishati na Madini yahamishia vifaa na Wafanyakazi Dodoma

on

Ni kwenye kutekeleza agizo la Rais Magufuli kuzitaka Wizara zote kuhamia Dodoma ambapo leo Wizara ya Nishati na Madini imeanza kuhamisha vifaa vya Wizara yake ambapo Wafanyakazi wake 47 kati ya 140 wameondoka leo Dar es salaam kwenda kwenye makazi mapya Dodoma.

Naibu Waziri wa wizara hiyo Diana Pallangyo amewapongeza Wafanyakazi wote kwa kukubali kuhamia Dodoma bila malalamiko na kuahidi kuwa shughuli zote za kikazi zitaendelea kama kawaida ambapo ofisi zao mpya zitakua nyuma ya Dodoma Hotel barabara ya Kikuyu.

Taarifa kamili unaweza kuitazama hii video hapa chini

FULL VIDEO: Freeman Mbowe aongea kwa mara ya kwanza toka atajwe kwenye orodha ya Paul Makonda, tazama kwenye hii video hapa chini

Ili usipitwe na Breaking NEWS zote za Tanzania na nje ya Tanzania, matukio ya habari za mastaa, michezo na mengine, usiache kujiunga na Millard Ayo kwa ku-subscribe Youtube jina la “millardayo” pia Install APP ya “millardayo” kwenye Android na IOS, Facebook, Twitter na Instagram @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments