Habari za Mastaa

NASH EMCEE: “Wasanii wenzangu mnaorukia kuiga, najua mshaanza……”

By

on

Ni maneno ya Mwanahiphop Maalim Nash maarufu kama Nash Emcee ambae amechukua time yake kuandika baada ya kuona kilicho-trend kwenye mitandao kutokana na Rapper wa Marekani Kanye West kuvaa ‘yeboyebo’ kwenye harusi ya Msanii mwenzake aitwae 2Chainz huko Miami Marekani.

Nash ameandika “Wasanii wenzangu ambao mkiona kitu mnarukia kuiga, najua mshaanza kuzisaka hizo yeboyebo kama za Kanye West tunakumbushana tu na SOKSI nazo zinatakiwa ziwe zinaeleweka maana tunajuana bwana”

VIDEO: MKE WA MZEE MAJUTO AFUNGUKA: “NIMEFUKUZWA TANGA” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

VIDEO: MWANAMITINDO ALIEVAA MAJANI ALIVYOZUIWA KUINGIA CINEMA DAR, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments