AyoTV

VIDEO: ‘Mkuu wa mkoa aturudishie gari letu’ – Mbunge Susan

on

Mbunge wa Mlimba Susan Kiwanga alikuwa mmoja wa wabunge waliosimama Bungeni leo April 19, 2017 ili kuchangia bajeti ya Wizara ya TAMISEMI na ile ya Ofisi ya Rais na utawala bora ambapo kati ya vitu alivyozungumzia ni hatua ya serikali kushindwa kushughulikia baadhi ya mambo yaliyo ndani ya uwezo.

Susan amesema..>>>”Kama kweli ni waungwana kwanini mnaishia kununua ndege hamboreshi ofisi za wakuu wa mikoa ili wakasimamie halmashauri? matokeo yake Mkuu wa mkoa Morogoro hana gari amechukua gari la Kilombero ambalo tumenunua kwa pesa zetu

Miundombinu ni mibovu, acheni ubabaishaji na msicheke inatuumiza sana, maneno mengi kwenye vitabu lakini utekelezaji hakuna’ –Susan Kiwanga

Full video tayari nimekuwekea hapa chini….

VIDEO: Majibu ya serikali kuhusu kuwafukuza wapangaji wa NHS 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments