Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Yule Jongo aliyezamia Afrika Kusini na wenzake wahukumiwa miezi miwili jela(+video)
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > Yule Jongo aliyezamia Afrika Kusini na wenzake wahukumiwa miezi miwili jela(+video)
AyoTVMixStori Kubwa

Yule Jongo aliyezamia Afrika Kusini na wenzake wahukumiwa miezi miwili jela(+video)

January 15, 2019
Share
2 Min Read
SHARE

Leo January 15, 2019 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Wafanyabiashara sita  kulipa faini ya Sh.50,000 au kwenda jela miezi 2 baada ya kukiri kosa la kuondoka nchini kwenda Afrika Kusini bila kuwa na Passport.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri baada ya Wakili wa Uhamiaji, Novatus Mlay kuwasomea mashtaka yao washtakiwa hao ambao walikiri makosa na kusomewa maelezo ya awali (Ph).

Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, washtakiwa hao wanadaiwa January 14, 2019 walikutwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakiwa wameondoka kwenda Afrika Kusini bila kuwa na vibali (Hati ya Kusafiria).

Baada ya kusomewa shtaka hilo, wastakiwa hao ambao wapo tisa, wawili walikana na sita walikiri kosa na kusomewa maelezo ya awali ambayo nayo waliyakubali.

Kutokana na hatua hiyo, Hakimu Mashauri amesema anawahukumu washtakiwa kulipa faini ya Sh. 50, 000 ama kwenda jela miezi 2 kwa kila mmoja, ambapo washtakiwa watano kati ya sita waliohukumiwa waliweza kulipa faini na kuachiwa huru.

Kwa ujumla washtakiwa walikuwa tisa, ambapo sita walihukumiwa baada ya kukiri kosa ambao ni Mussa Njogo, Hemed Semi,Mohammed Moshi(27),Carlos Mhando (22), Lista Mlawi (20) na Abdallah Marola (25).

Waliokana makosa yao ni Shaibu Mohammed (26), Ibrahim Mketa (30) na Kassim Kitapi (22) ambapo wamerudishwa mahabusu, ambapo watarudishwa mahakamani hapo January 30, 2019 ili wasomewe maelezo ya awali kutokana na upelelezi kukamilika.

MAOFISA WA TFDA WALIOSABABISHA HASARA YA MIL.58 WAPELEKWA LUPANGO

You Might Also Like

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Miaka 5 ya ITM, Serikali imeahidi kuadhimisha sekta ya rasilimali watu

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

Msaada wa pikipiki kwa Polisi kulinda Watalii

TAGGED: AyoTV, Mix, Stori kubwa
Mika Ndaba TZA January 15, 2019
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Taarifa mpya ya kufahamu kuhusu uchaguzi wa Yanga SC
Next Article Maofisa wa TFDA waliosababisha hasara ya Mil.58 wapelekwa lupango (+video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Top Stories

Elon Musk kwa mara nyingine tena ndiye mtu tajiri zaidi duniani

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?