Habari za Mastaa

AudioMPYA: Juma Nature katuletea hii single mpya Mitumba…..

on

Juma Nature ni miongoni mwa mastaa wenye umri mkubwa kwenye muziki wa bongofleva na bado wameendelea kutosimama kuachia kazi mpya kila wakati, mpya ya leo ya Juma Nature ni hii single yake iitwayo Mitumba.

Ukishamaliza kuisikiliza single hiyo sio mbaya ukituachia na comment yako mkali huyo akipita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

ULIIKOSA HII YA CHEGE KUHUSU KILICHOTOKEA BAADA YA KUKUTANA NA JUMA NATURE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments