AyoTV

VIDEO: ‘Ili upate kazi viwanda vya Mtwara lazima utoe rushwa’ -Mbunge Maftaha Nachuma

on

Bunge la 11 limeendelea tena mei 9 2016 Dodoma  Katika kipindi cha maswali na majibu  Mbunge wa Mtwara Maftaha Nachuma

>>‘Kuna hotuba ambayo imetolewa  na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mkakati wa kuhakikisha Tanzania inakuwa ni nchi ya viwanda ni jambo zuri sana. Nchi za Ulaya zileweza kuendelea kwa kupitia sekta ya viwanda.

Mwalimu Nyerere alianzisha viwanda vingi sana, bahati mbaya Serikali haikuweza  kuingia katika mfumo wa uwekezaji ambao haukufuata sharia na utaratibu na kupelekea kuuawa kwa viwanda hivi

‘Nimekuwa nikilia sana katika bunge hili, Kiwanda cha Dangote kinanyanyasa wafanyakazi waliopo mule ndani, Wananchi ili wapate kazi ni lazima watoe rushwa ya kuanzia laki tatu na hamsini

Unaweza kuipata full stori kwenye hii video hapa chini….

ULIIKOSA HII KATIKA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI LEO, WAZIRI MWIJAGE KAYAJIBU HAYA?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments