Top Stories

“Andikeni ‘washenzi’ wote ni undava undava hakuna jiwe juu ya jiwe” Mwanri (+video)

on

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akishirikiana na Jeshi la Polisi ameendelea na kampeni ya ‘FUKUA FUKUA’ yenye lengo la kukomesha uhalifu katika mkoa huo

Kampeni hiyo inalenga kupiga kura za siri katika maeneo korofi ya Mkoa huo na akiwa katika Manispaa ya Tabora amesema “Sitaki kubagua mtu akija Tabora atakaa kwa adabu haijalishi wewe ni nani na ni mkubwa kiasi gani”RC Mwanri

WATOTO HAWA WAMEWAGUSA NA KUWAHUZUNISHA WATU ZAIDI YA MILIONI 10

Soma na hizi

Tupia Comments