AyoTV

Simon Msuva alivyoendesha kliniki ya soka JMK Park

on

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya Difaa El Jadida ya Morocco Simon Msuva  ameendesha kliniki ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 15 katika viwanja wa JMK Park.

Katika kliniki hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya ISDI inayomsimamia Simon Msuva imehudhuriwa pia na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe ambaye amewataka vijana kufuata nyayo za Msuva.

AyoTV ilivyomnasa staa wa zamani wa Liverpool Airport KIA

Soma na hizi

Tupia Comments