AyoTV

Video: Mpenzi mpya wa Nuh Mziwanda alivyojitambulisha kwenye Birthday Party..

on

Usiku wa May 15 2016 Msanii kutoka kiwanda cha bongoflevani Nuh Mziwanda alifanya Birthday Party yake aliyoifanyia maeneo ya nyumbani kwake Savey Jiji Dar es salaam, Birthday Party ambayo ilihuhduriwa na mastaa mbalimbali na kumtambulisha mpenzi wake mpya kwenye tukio la kulishana keki, Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa mkali huyu ataziona.

ULIIKOSA EXCLUSIVE YA LULU KWANINI HAKUPOST WALA KWENDA MAKABURINI MIAKA MINNE KIFO CHA KANUMBA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments