Habari za Mastaa

Nuru The Light karudi na video yake mpyampya, inaitwa ‘L’… ni kazi ya Director Adam Juma…

on

Nuru The Light ni moja ya mastaa ambao wana nafasi zao kutambulika kwenye muziki wa Bongo Fleva, kuna kipindi kirefu hajasikika… haikumaanisha kauacha muziki.

Nuru anarudi tena, muziki una mchakamchaka sasahivi, ataweza kushika?? kaachia video ya ngoma yake mpya ambayo kaipa jina la ‘L’ .

Milango imefunguka sana mastaa wa Bongo kufanya Video zao nje ya TZ sanasana South AfricaNuru hajavuka huko, kaiamini kazi ya Director Adam Juma wa Visual Lab Tanzania, Video hii yote imekamilika kwenye mikono yake !

Karibu mtu wa nguvu, kitu kipyakipya cha Nuru the Light hiki hapa, ukiplay unaicheki yote kwenye dakika zake tatu tu.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments