on air with millardayo

Mambo matano Nay wa Mitego hatosahau toka aachie ‘shika adabu yako’

on

Msanii wa bongofleva Nay wa Mitego amekaa kwenye OnAIR with Millard Ayo na kuzungumzia experience ya single yake ya ‘shika adabu yako’ ambayo ndani yake amewachana baadhi ya mastaa wa Tanzania.

Kwenye hii Exclusive Interview Nay amezungumzia pia tukio la kioo cha nyuma cha gari lake kuvunjwa na watu asiowajua wakati akiwa ameshuka na kuingia stationary, mambo yote matano kayataja kwenye hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments