Mali za Mastaa

VIDEO: Top 10 ya nyumba za mastaa wa soka zenye thamani zaidi 2016

on

Mtu wangu wa nguvu July 4 2016 nakusogezea TOP 10 ya nyumba za mastaa wa soka zenye thamani zaidi duniani kwa mwaka 2016, najua wapo mastaa wa soka wengi ambao inawezekana ulishawahi kuona picha ya nyumba zao, ila July 4 naomba nikusogezee list ya nyumba 10 za mastaa wa soka zinazotajwa kuwa na thamani zaidi.

Cheki video ya top 10 yenyewe ya nyumba za mastaa wa soka mtu wangu

ULIKOSA ALL GOALS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016 FULL TIME 0-1? ICHEKI VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments