Mix

BREAKING: Polisi Morogoro yasema Nay wa Mitego amekamatwa akitorokea Turiani

on

Msanii wa Bongofleva Nay wa Mitego ambaye hivi karibuni alitoa wimbo mpya ambao amegusia headlines za Serikali na mambo mengine ya nchi humo ndani, amekamatwa na Polisi Morogoro.

AyoTV na millardayo.com zimempata kwenye Exclusive Interview kamanda wa Polisi Morogoro Ulrich Mtei ambaye ameongea yafuatayo >>> “Ni kweli huyu Bwana anashikiliwa Morogoro na shauri lake sio la Morogoro na shauri lake sio la Morogoro, tulipata tu maelekezo kwamba tumtafute

Kupata full audio ya alichokisema Kamanda Mtei bonyeza play hapa chini……

EXCLUSIVE VIDEO: Ningekua Nape Nnauye nisingekwenda kuongea na Waandishi siku ile, bonyeza play hapa chini kupata FULL VIDEO ya Mbunge Msukuma wa Geita kuhusu ishu ya Mbunge wa Mtama Nape Nnauye

Soma na hizi

Tupia Comments