AyoTV

VIDEO: Lazaro Nyalandu kawajibu wanaohoji uhusiano wake na watoto waliopata ajali, Arusha

on

Siku chache baada ya watoto majeruhi wa ajali ya Karatu, Arusha kusafirishwa kwa matibabu Marekani, gumzo limekuwa kwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha majeruhi hao wanasaidiwa kimatibabu na kisaikolojia huku baadhi wakihoji uhusiano wake na watoto hao.

Ayo TV na millardayo.com zimekutana na Waziri huyo wa zamani wa Utalii na Maliasili ambapo kwenye video hii amefunguka kuhusu mahusiano yake na wanafaunzi waliopata ajali mpaka hatua waliyofikia…bonyeza PLAY kutazama…

Majeruhi wa ajali Arusha walivyochukuliwa KIA kwenda Marekani…

Soma na hizi

Tupia Comments