Ukitembea kwenye nchi zilizoendelea sio ajabu kukutana na vitu vingi vya kiteknolojia ambavyo havipo Afrika, hii ni moja ya barabara za chini ya maji kwenye jiji la New York Marekani.
Unapita kwa gari chini ya maji kutoka upande mmoja kwenda mwingine, ni kama utoke Posta Dar es salaam kuvuka kwenda Kigamboni lakini kwa kupita chini ya maji….. bonyeza play hapa chini kujionea
EXCLUSIVE: AyoTV yamtembelea mstaafu Kikwete nyumbani kwake Msoga, “NANENEPA SIKU HIZI, MLIKUA MNANIFUJA” bonyeza play hapa chini kumtazama mwanzo mwisho
VIDEO: Nilipokwenda kwenye Daraja la Kigamboni DSM lililojengwa juu ya bahari, bonyeza play hapa chini kutazama
APP MPYA: Usisahau ku-install APP mpya ya ‘millardayo‘ inayopatikana kwa wale wenye simu za ANDROID, kama ulikua na ile ya zamani naomba uifute…. karibu sana mtu wa nguvu, UNAWEZA KUI-INSTALL KWA KUBONYEZA HAPA >>> APP MPYA