Top Stories

Hakuna Wahudumu Petrol Station, mafuta unajiwekea mwenyewe (+video)

on

Kwa mtu anaeishi Marekani au kwenye nchi za Ulaya hili ni jambo la kawaida kabisa lakini kwa tulio Afrika hiki ni kitu kigeni kwetu maana kwenye vituo vyote vya mafuta huwa tunakuta Muhudumu ndio anatuwekea mafuta kwenye magari.

AyoTV na millardayo.com zinakukutanisha na hii kutokea Marekani ambapo 10mpa anatuonyesha jinsi  ambavyo wananunua mafuta yao kwa kulipia kwa kadi lakini pia kuna aina 3 za mafuta kulingana na ubora, hii video hapa chini itakuonyesha kila kitu

VIDEO: Jionee Magari yanavyopita kwenye barabara ya chini ya bahari Marekani… hii video hapa chini ina kila kitu

APP MPYA: Usisahau ku-install APP mpya ya ‘millardayo’ inayopatikana kwa wale wenye simu za ANDROID, kama ulikua na ile ya zamani naomba uifute…. karibu sana mtu wa nguvu, UNAWEZA KUI-INSTALL KWA KUBONYEZA HAPA >>> APP MPYA

Soma na hizi

Tupia Comments