AyoTV

VIDEO: Waziri Nape kaitoa hii ya wachezaji kutumia dawa za kuongeza nguvu michezoni

on

Headlines za kutokea bungeni dodoma bado zinazidi kukufikia kwa wepesi zaidi kila kukicha, najua shauku ya wengi ni kuisubiria bajeti kuu kusomwa hapo kesho June 8 2016. Lakini bado kuna mengi ya kuyajua yanayoendelea hivi sasa.

June 6 2016 Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye aliwasilisha bungeni azimio la bunge kuridhia mkataba wa kimataifa wa udhibiti wa matumizi ya dawa na mbinu za kuongeza nguvu michezoni.

ULIIKOSA HII? ISHU YA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA KUOMBAOMBA PESA KWA WAKURUGENZI HAIJAKALIWA KIMYA BUNGENI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa  INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments