Ad

AyoTV

VIDEO: Style aliyoitumia Makongoro Nyerere kuomba kura za ubunge

on

April 4, 2017 ulifanyika uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki ambapo Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifanya uchaguzi huo Bungeni mjini Dodoma.

Mmoja wa wagombea alikuwa ni Makongoro Nyerere ambaye style yake ya kuomba kura ilisababisha wabunge wengi kuanza kucheza kila muda alivyokuwa akiongea. Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

LIVE: Kipindi cha maswali na majibu Bungeni Dodoma 

Soma na hizi

Tupia Comments