Habari za Mastaa

Alikiba afufua hisia za uchungu kwa mashabiki kuhusu Ruge Mutahaba

on

Ikiwa bado Taifa linaomboleza kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP Dkt. Reginald Mengi mastaa mbalimbali wamekuwa wakiandika jinsi walivyoguswa na msiba huo kupitia kurasa zao za instagram, mwimbaji Alikiba ameacha maswali baada ya kupost picha ya Marehemu Ruge Mutahaba.

Komenti zimekuwa nyingi kwenye post hiyo ambayo Alikiba ameipost kupitia ukurasa wake wa instagram na kuandika ‘Dah’ ambapo wengi wamehoji na kuuliza ni kitu gani kimemkumba? au huenda kuna kitu ambacho anakosa kwenye muziki wa Bongo Fleva kutokana na Ruge kutokuwepo?

VIDEO: HILI NDILO JUMBA LA KIFAHARI LA MENGI ALILOMJENGEA MKEWE JACQULINE NTUABALIWE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments