Nyumba/ Mijumba

PICHA 25: Kwa Mabachela na wenye hela zenu mnaopenda nyumba za kifahari na mnaopenda nyumba ndogo

on

Kila mtu anapenda kuishi kwenye nyumba nzuri hiyo hamna anaepinga lakini sio kila mwenye kutaka nyumba nzuri na ya kifahari anaweza kuipata ndio maana mtu wako Millard Ayo huwa anakukutanisha na picha mbalimbali za kujifunza na kuona ni namna gani unaweza kuibadilisha hata hiyo ndogo uliyonayo.

n4

Kikubwa ambacho kimenivutia hapa kwenye hii picha ni baraza isiyo na nguzo nyingi lakini pia aina ya sakafu ya mbao iliyotumika, ni sehemu hata ukiamua kujilaza chini au kukaa unajisikia vizuri.

n3

Nyumba bila madirisha ya chuma na milango ya chumba inapendeza sana sema ndio basi tu huwezi kujanga kwenye mazingira yetu labda uwe na ulinzi mkali na wa uhakika wa uzio, sio kwamba Tanzania hamna nyumba kama hizi…. zipo sema kwenye yale maeneo wanayokaa watu wenye nazo kwa sana.

Sio kila unachokiona kwenye hizi picha ni lazima ukihamishie nyumbani kwako, kama una huo uwezo ni sawa ila kwa wale wenzangu na mimi ambao bado tunatafuta, tunaweza kuhamisha baadhi ya idea nzuri na chache kutoka hapa na tukazipeleka kwenye sehemu zetu.

n2

Huyu hakutaka mbwembwe baada ya kuiweka TV yake.

N1

simple lakini iko poa sana

n16

Ukishazitazama zote hizi usiache kuniandikia ni nyumba au kipisi kipi kimekuvutia zaidi mtu wa nguvu na nitakujibu kwenye comment

n15

n14

Kwa wale wenzangu ambao bado tumepanga kwenye nyumba ndogo, kochi kama hili linatutosha kabisa na bado sebule inakua poa

n5

Kwenye hii picha hapa inanifanya niwaze kila wakati kwamba nyumba nzuri sio lazima uwe na mamilioni, kama ndio kwanza unatafuta maisha ukiwa na nyumba kama hii yenye kochi moja, jiko dogo kama linavyoonekana hapo na sebule pembeni mchezo umeisha tena imekaa kijanja sana.

n6

n7

n8

n9

n11

Yani hii nyumba jamaa wametumia akili na nafasi ndogo waliyonayo lakini imependeza sana, ramani yake ndio hii hapa chini.

n12

HIZI HAPA CHINI NI ZILE NYUMBA KUBWAKUBWA ZA WENYENAZO….

f1

Huyu aliyejenga hii nyumba alikuja kuangalia eneo kwanza na ramani ikachorwa kutokana na eneo lenyewe, kapatia sana…

f2

f3

f4

f5

f6

f7

f8

f9

f10

f11

f12

f13
ULIIKOSA SHOW YA DIAMOND LAS VEGAS MAREKANI? PROMOTA ANASEMA ILIVUNJA REKODI..ITAZAME HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments