Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Nyongeza ya Mishahara kwa watumishi, walimu wasema wamemuelewa Mama (video+)
Share
Notification Show More
Latest News
Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani
August 12, 2022
Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo
August 12, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022
August 12, 2022
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Nyongeza ya Mishahara kwa watumishi, walimu wasema wamemuelewa Mama (video+)
Top Stories

Nyongeza ya Mishahara kwa watumishi, walimu wasema wamemuelewa Mama (video+)

May 15, 2022
Share
1 Min Read
SHARE
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Deus Seif amesema Walimu waliielewa vizuri kauli ya Rais Samia Suluhu aliyoitoa kwenye Maadhimisho ya Mei Mosi kuhusu ahadi ya nyongeza ya mishahara ambapo wamemshukuru kwa kuitimiza ahadi hiyo na kuridhia nyongeza ya 23.3% ya mishahara kwa Watumishi.

“Baada ya kauli yako ya Mei Mosi, Mh. Rais, Walimu tulikuelewa na tukasema tupo pamoja nawe, tunachapa kazi, kama uliweza kuwapandisha madaraja (vyeo) katika katika kipindi cha mwaka 2021/2022 pekee 92.9% ya Walimu wote ambao ni takribani 260,000, hata hili la kuongeza mishahara tulijua tu litafanikiwa”
“Kama umetoa ajira kwa awamu nne, ya kwanza Walimu 13,000, ya pili 7000, ya tatu 6000 na ya nne ni hii ya juzi 12,000 ambayo ni sawa na 15% ya Walimu waliopo na kupandisha Madaraja (Vyeo) Mwaka jana Walimu 127,000 na mwaka huu zajdi ya 60,000, watakaonufaika na Daraja la Mserereko ni Walimu 52,0000 ambapo jumla ya walionufaika ma Madaraja ni sawa na 92.9%, hata hili la mishahara tulijua litakamilika tu”

 

BREAKING: RAIS SAMIA AKUBALI MAPENDEKEZO YALIYOWASILISHWA NA WAZIRI MKUU IKULU “NYONGEZA MISHAHARA”

 

 

You Might Also Like

Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani

TAGGED: Dar es salaam, Rais Samia
Edwin TZA May 15, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 15, 2022
Next Article Shabiki amlilia Diamond nchini Ivory Coast ‘alisafiri kutoka umbali wa masaa sita kuja kumuona’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani
Entertainment August 12, 2022
Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo
Top Stories August 12, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022
Magazeti August 12, 2022
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
Sports August 11, 2022

You Might also Like

Sports

Kauli ya Simba SC baada ya Tundaman kuingia na Jeneza ‘Simba day’ uwanja wa Mkapa

August 10, 2022
Sports

Picha 19: Uzinduzi wa Jezi mpya za Simba SC, Mashabiki wafurika Dukani DSM

August 7, 2022
Sports

Simba wafunga usajili kwa kishindo, washusha mshambuliaji kutoka Ulaya

August 7, 2022
Sports

Manara amuingiza Hersi kwenye 18 za TFF

August 7, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?