Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Nyota 5 kwa Diamond kwa hiki alichokifanya kwenye show ya Global Spin
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Kinachojiri kwa Mkapa kwenye mechi ya Watani wa jadi ‘Simba na Yanga’
August 13, 2022
Kizz Daniel alivyopanda jukwaani na bendera ya Tanzania, Watanzania wamsamehe kwa yale yaliyotokea
August 13, 2022
Video: Hamisa Mobetto aonesha gari jipya alilonunuliwa na mpenzi wake
August 13, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022
August 13, 2022
Mauaji Moro: Mume amnyonga Mkewe na mtoto, Kaka wa Marehemu afunguka
August 12, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Nyota 5 kwa Diamond kwa hiki alichokifanya kwenye show ya Global Spin
Habari za Mastaa

Nyota 5 kwa Diamond kwa hiki alichokifanya kwenye show ya Global Spin

February 8, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Mwimbaji Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ameweka rekodi nyingine kwenye historia ya muziki wake, kwa Nchi yake na kwa Afrika Mashariki kwa kuwa Msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kutumbuiza kwenye show ya Global Spin inayoandaliwa na Waandaaji wa Tuzo za Grammy.

Kwenye show hii Diamond ameimba wimbo wake mpya wa ‘gidi’ ambao bado haujatoka ambapo show hii inaoneshwa kwa njia ya mtandao kupitia akaunti za YouTube, Twitter, Facebook za Recording academy ambayo ilianzishwa mwishoni mwa 2021 kwa lengo la kuuibua na kuutangaza zaidi muziki wa Afropop na Latin Music.

EXCLUSIVE: COUNTRY KUHUSU HARMONIZE, KUONDOKA KONDE, DIAMOND, MKATABA HAUJAISHA “SIJUTII CHOCHOTE”

You Might Also Like

Tanzania ya 3 kutumia Audiomack, wasanii changamkieni

Dj Khaled ametuletea hii video mpya ‘Staying alive’ akiwa na Drake na Lil Baby

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

Picha: Zuchu, Mwana FA na wengineo walivyotoa burudani hafla ya kuwaaga Wabunge

TAGGED: bongo fleva, Diamond
Edwin TZA February 8, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Tanzania ya tatu utumiaji mtandao wa Mdundo
Next Article Rais Samia asema hili kwa wanaofanya biashara mitandaoni “Biashara nyingi hazilipi kodi”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Kinachojiri kwa Mkapa kwenye mechi ya Watani wa jadi ‘Simba na Yanga’
Sports August 13, 2022
Kizz Daniel alivyopanda jukwaani na bendera ya Tanzania, Watanzania wamsamehe kwa yale yaliyotokea
Entertainment August 13, 2022
Video: Hamisa Mobetto aonesha gari jipya alilonunuliwa na mpenzi wake
Entertainment August 13, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022
Mix August 13, 2022

You Might also Like

MixTop Stories

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

August 11, 2022
Mix

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

August 9, 2022
Mix

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam

August 8, 2022
Mix

Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu

August 8, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?