Nyumba/ Mijumba

Wanasema hili ndio Jumba la bei mbaya zaidi kwenye soko la Marekani kwa sasa

on

Leo nimekutana na picha za Jumba jipya Marekani ambalo limetajwa kuuzwa kwa dola za Marekani milioni 250 ambayo ni takribani Tsh Bilioni 558.75 na kuifanya kuwa jumba la gharama zaidi katika soko la Marekani kwa sasa.

Unaambiwa Jumba hili lina vyumba 12, mabafu 21, baa tano na majiko matatu ambapo makazi haya ya kifahari pia yana gereji ambayo imejaa magari na kuna sehemu pia ya kuruhusu Helikopta kutua.

Hapa ni kwa juu kabisa ambapo Helikopta inatua

Ukumbi wa kutazamia CINEMA nyumbani

JIONEE: ULIPOFIKIA UJENZI WA JENGO JIPYA AIRPORT DAR ( TERMINAL 3), BONYEZA PLAY HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments