Michezo

Nyuki wasimamisha game ya Yanga na Gwambina

on

Club ya Yanga leo ikiwa katika uwanja wa Gwambina Misungwi Mwanza kupambana na wenyeji wao Gwambina.

Mchezo wao ulilazimika kusimama kwa dakika chache mara baada ya kutoka mapumzika wakiwa 0-0, kipindi cha pili kikitarajia kuanza ndio nyuki wakavamia uwanja.

Wachezaji wa timu zote mbili walilazimika kulala chini kama kuchukua tahadhari na kisha wakainuka kuanza kipindi cha pili, tukio kama hilo sio la kwanza kutokea katika soka Tanzania na jambo la kawaida kwa mujibu wa commentator Wa mechi hiyo Baraka Mpenja.

Soma na hizi

Tupia Comments