Mix

Kwenye nyumba za udongo zilizobaki Dar es Salaam, hizi tano nazo zipo (Pichaz)

on

Screen Shot 2015-06-27 at 12.21.25 PM

Kwa mtu ambaye hajafika Dar es salaam kwa miaka kumi iliyopita akifika leo ni rahisi kupotea kwa sababu ya mabadiliko makubwa katikati ya Jiji.

Kuna watu wanaishi Dar na hawajawahi kukutana na nyumba za udongo, wapo wanaoamini kuwa Dar ni maghorofana mijengo mikubwa, hakuna nyumba za udongo!!

Leo mtu wako nimekatisha maeneo ya Tabata, Buguruni na Mbezi Beach nimekutana na nyumba hizi tano za udongo ambazo japo Mji unatawaliwa na Maghorofa lakini hatahizi nazo zimo !

Screen Shot 2015-06-27 at 12.21.35 PM

Screen Shot 2015-06-27 at 12.21.44 PM

Screen Shot 2015-06-27 at 12.21.54 PM

Screen Shot 2015-06-27 at 12.22.12 PM

Jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments