Top Stories

Nyumbani kwa Mama aliyeuawa na mwanae “Milioni 60 zatajwa” (video+)

on

Wakati Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro likiwashikilia watu ikiwemo binti wa marehemu na waganga wawili wa kienyeji kwa tuhuma za mauaji ya mama anayefahamikakwa jina la Patricia Paulo na kisha mwili wake kufukiwa pembeni ya nyumba yake Ayo TV & Millardayo.com imefika hadi eneo la tukio ambapo majirani na mashuhuda wameeleze kila kitu.

WATU 14 WAFARIKI DUNIA MWANZA, RC AFUNGUKA “LIKAGONGANA USO KWA USO NA GARI LA ABIRIA”

 

Soma na hizi

Tupia Comments