Top Stories

Nyumbani kwa MC Gara B, utajiri wake, MC tajiri aliepitia msoto (+video)

on

Godfrey Deogratias Rugarabam (MC Gara B) utakua umemuona sana kwenye harusi nyingi akisherehesha kama MC nchini Tanzania, vilevile ni mmoja wa Vijana wa Tanzania pia waliotumia mitandao ya kijamii vizuri kutengeneza majina yao (kuji-brand) na kuonesha kazi zao, leo ameongea na AyoTV na kutueleza mengi tusiyoyafahamu kuhusu yeye ikiwemo kazi ya ualimu kwenye shule ya Sekondari ya Kata.

Soma na hizi

Tupia Comments