Sio kila kinachoonekana hapa kila mtu ana uwezo wa kukipata au kukijenga ila dhumuni la hii post ambayo sasa imerudi na itakua inakujia mara kwa mara kupitia millardayo.com ni kukupa mwanga wa jinsi gani unaweza kuiweka nyumba yako, hata kama hautaijenga hivi lakini naamini unaweza kupata idea kadhaa hata za jiko, sebule, chumba au chochote kingine kwenye ujenzi kutoka hapa.
Nafahamu familia ya millardayo.com ina watu mbalimbali wakiwemo wanaotaka kuanza ujenzi, wanaopenda nyumba, walio kwenye ujenzi na wengine hii ndio sehemu yao…. pia popote ulipo duniani unaweza kushea na sisi picha za nyumba uliyojenga, unayoishi au uliyopanga kupitia mtuwakowanguvu@gmail.com
Hii nyumba ya kwanza ipo London, England.
Hii nyumba ya pili ipo Toronto Canada.