Ad

Top Stories

“Nyungu imetusaidia tusiibeze, Rais asiwaamini watumishi wa Serikali” Mbunge Kingu (+video)

on

“Msimamo utabaki kwamba nyungu imetusaidia sana watanzania kipindi cha Corona na wengi tumejifukiza hivyo tusiibeze na huo umekuwa msimamo wa nchi yetu, tumena madhara yake kwa taifa letu hayajawa makubwa kama ilivyo katika mataifa mengine”

“Kuhusu uongozi wa Mama Samia ni kwamba uwezo anao na anajua kila kitu ambacho kimehasisiwa lakini kikubwa ni kwamba hatufukui makaburi lakini tukiri kwamba tulikuwa tunafanya makosa kwa kuamini kwamba kila kitu kinakwenda sawasawa ikiwemo kwamba hakuna watu wanakula rushwa”

“Nimuombe sana Mama Samia aendelee kuwa mkali katika suala la uadilifu na asiamini watumishi wa Serikali kwa asilimia 100 kwamba ni malaika hawawezi kuwa wabadhirifu katika kuiba fedha za Serikali na wote mmeona hata katika ripoti ya CAG”-Mbunge wa Singida magharibi Elibariki Kingu

Soma na hizi

Tupia Comments