AyoTV

VIDEO: “Hawa wapinzani hawaeleweki kama Popo” – Ulega

on

Baada ya Rais JPM kukutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick ya Canada Prof. John L. Thorton kitendo hiko kimepongezwa ambapo miongoni mwa waliotoa pongezi kwa JPM ni Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega ambaye amemwagia sifa kwa kitendo hiko.

VIDEO: Aliyozungumza Bashe ndani ya dakika 10 kuhusu Bajeti Kuu 2017/18 

Soma na hizi

Tupia Comments