AyoTV

VIDEO: ‘Nawashangaa sana wanaosema serikali haijafanya kitu’-Juliana Shonza

on

Mbunge wa viti maalum CCM katika mkoa wa Songwe Juliana Shonza amesema anawashangaa baadhi ya wabunge ambao mara kwa mara wamekuwa wakisimama bungeni na kwenye majukwaa wakisema kuwa serikali haijafanya kitu kwa ajili ya wananchi wake.

Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: ‘Tunakataa viroba lakini hatukubali hatua zinazochukuliwa’ -Mbunge Shabiby 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments