Habari za Mastaa

VideoMPYA: WEUSI wameidondosha ‘Show Time’ “Humu ndani hamna kitu haina bei”

By

on

Hatimaye WEUSI Kampuni inayoundwa na Joh Makini, Nikk Wa Pili, G Nako na Lord Eyes wameileta video ya ‘Show Time’ baada ya ngoma hiyo kufanya vizuri kwenye Audio siku kadhaa zilizopia, fanya kuburudika na ngoma hiyo kwa kubonyeza PLAY.

VIDEO: MARIOO AELEZA NANDY ALIVYOMUWEKEA POZI SIKU YA KWANZA… 

Soma na hizi

Tupia Comments