Habari za Mastaa

PART 2: Miss Kigoma baada ya kufika Dar “Nilianza na cherehani moja sasa hivi ninazo 9”

on

Hii ni sehemu ya pili ya simulizi ya mrembo Malika aliyewahi kushiriki Miss Tanzania mwaka 2006 akiwa na kina Wema Sepetu, Jokate Mwegelo, Aunty Ezekieli na wengine huku akiwa anauwakilisha mkoa wa Kigoma, amefunguka safari yake ya maisha iliyokuwa na changamoto licha ya kwamba alifanikiwa kuzishinda mpaka sasa amejijengea umaarufu mtandaoni kupitia biashara zake.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO ya MALIKA akisimulia SEHEMU YA PILI.

PART 1:MISS KIGOMA ALIYEPANDA TRENI KUJA DAR KUTAFUTA MAISHA, ALIANZIA MAMA NTILIE

IRENE UWOYA “Mimi na Dogo Janja tumeshindwana, nina mtu wangu akioa nitaenda”

Soma na hizi

Tupia Comments