Habari za Mastaa

Dimpoz afuta post ya mama Diamond Insta

on

Leo August 24, 2017 gumzo kwenye mitandao ya kijamii ni ishu ya Ommy Dimpoz kuamua kuifuta post yake aliyoiweka kwenye Instagram ikiambatana na picha yake akiwa na mama Diamond jambo ambalo lilitolewa maoni sana na Watanzania.

Miongoni mwa mastaa ambao hawakuupenda ujumbe huo ni pamoja na meneja wa zamani wa Ommy Dimpoz Mubenga, Aunty Ezekiel na hata Dada wa Diamond ambaye aliweka comment moja kwa moja kwenye post hiyo akimkanya Dimpoz kutomuingiza mama Diamond katika ugomvi wake na Diamondi.

Bonyeza play hapa chini…

ULIPITWA? Esma Platnumz kaingilia kati baada ya Dimpoz kupost picha ya Mama Diamond

Soma na hizi

Tupia Comments