AyoTV

VIDEO: Fundi wa soka Ibrahim Jeba amezikwa leo Zanzibar

on

Alhamisi ya September 19 2019 Unguja Zanzibar yamefanyika mazishi ya mchezaji wa zamani wa Azam FC na Mtibwa Sugar Ibrahim Jeba ambaye pia amewahi kuichezea Taifa Stars amezikwa leo kijijini kwao visiwani Zanzibar, Jeba alikuwa anaumwa lakini jana baada ya kuzidiwa alikimbizwa katika hospitali ya Mnazi mmoja Zanzibar.

VIDEO: Moja kati ya magoli ya marehemu Jeba, hili liliwaumiza wana-Simba 2016

Soma na hizi

Tupia Comments