Michezo

Hii ndio ratiba ya robo fainali ya UEFA Europa League

on

Baada ya kumalizika kuchezeshwa droo ya robo fainali ya UEFA Champions League msimu wa 2018/2019, ilifuatiwa na droo ya UEFA Europa League kuchezeshwa ambapo sasa kila timu kati ya nane zilizofuzu inajua itacheza na timu gani hatua hiyo ya robo fainali, game za kwanza zitachezwa April 11 na marudiano April 18.

Mwinyi Zahera alisababisha shabiki wa Yanga abet mke 

Soma na hizi

Tupia Comments