AyoTV

STEVE NYERERE AIBUKA KWA MANARA: ”MUACHE AJIPONGEZE KWA KIPIGO”

on

January 27 2018 afisa habari wa Simba SC Haji Manara ndio siku ambayo atazindua Taasisi yake ya kusaidia watu wenye ulemavu wa ngozi na kuzindua rasmi bidhaa yake ya Perfume ya ‘De La Boss’ watu mbalimbali wamealikwa akiwemo muigizaji Steve Nyerere na hapa AyoTV ilimnasa kwenye red carpet.

VIDEO: Mwalimu Kashasha kuhusu pasi ya Ajibu kwa Fei Toto “Locomotive faint”

Soma na hizi

Tupia Comments