Video Mpya

VideoMPYA: Ni AY ft Fid Q kwenye Microphone

on

Msanii wa Bongofleva Ambwene Yesaya ambaye wengi tunamfahamu kwa jina la AY, leo July 9 2018 amemaliza kimya chake kwa kutoa video ya ngoma yake mpya akimshirikisha Fid Q ngoma inaitwa ‘Microphone’

Hatimae Moni na Nai watoka pamoja, wakiri kurudiana

Soma na hizi

Tupia Comments