Duniani

Rais Obama alivyoangusha machozi baada ya kuumizwa na mauaji ya silaha.. (+Video)

on

Ishu ya matukio mfululizo ya mauaji Marekani yakihusishwa matumizi ya silaha yamekuwa yakitawala vichwa vya habari za Marekani na duniani.. mjadala ukaibuliwa kwamba kuna sababu zote za msingi itengenezwe sheria ya kudhibiti matumizi ya silaha.

OBAMA

Japo kumekuwa na mvutano mkubwa kuhusu Bunge la Marekani kupitisha sheria hiyo, jana January 5 2015 Rais wa Marekani alijikuta akitokwa machozi wakati akisisitiza kuhusu umuhimu wa kuwa na sheria kali za kudhibiti umiliki na matumizi ya silaha.

Rais Obama anakaribia kumaliza kipindi cha uongozi wake huku akionesha kuwa hili la sheria za silaha ni la msingi zaidi kumalizana nalo kabla hajatoka.

Video yake hii hapa pia dakika mbili za Rais Obama kwenye hotuba yake.

https://www.youtube.com/watch?v=tJd_pdqFtuM>

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments