Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Live: Msimamo wa Raila Odinga apinga ‘Sheria ilikiukwa, Sikubaliani na matokeo’
Share
Notification Show More
Latest News
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
May 31, 2023
Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo
May 31, 2023
Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano
May 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Live: Msimamo wa Raila Odinga apinga ‘Sheria ilikiukwa, Sikubaliani na matokeo’
Top Stories

Live: Msimamo wa Raila Odinga apinga ‘Sheria ilikiukwa, Sikubaliani na matokeo’

August 16, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Mgombea Urais wa Kenya kwa tiketi ya Azimio la Umoja Raila Odinga ameongea leo kwa mara ya kwanza kupitia vyombo vya habari baada ya jana Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi kutangaza Mshindi wa Urais kuwa ni William Ruto.

Raila amesema “nawashukuru Wakenya wenzangu walioshiriki uchaguzi, nawashukuru Wafuasi wa AZIMIO kwa kutofanya fujo au kujichukulia hatua mkononi baada ya matokeo kutangazwa na ninawaomba waendelee kuwa watulivu”

“Sisi tunapenda amani, Yule Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi amepindua matokeo na kutengana na wenzake, hatutakubali Mtu mmoja ajaribu kuleta vurugu na kubadilisha kila kilichoamuliwa na Wakenya, Mungu ibariki Kenya Nchi yetu, tutawatangazia hatua zaidi hapo baadaye” ——— amesema Raila

You Might Also Like

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)

Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo

Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana

Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo

Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano

Edwin TZA August 16, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Sio Mchezo!! Diamond asema Zuchu atalipa Bilioni 10 akitaka kuondoka WCB
Next Article Samatta amerejea KRC Genk ya Ubelgiji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
Top Stories May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
Top Stories May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
Top Stories May 31, 2023
Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo
Top Stories May 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)

May 31, 2023
Top Stories

Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo

May 31, 2023
Top Stories

Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana

May 31, 2023
Top Stories

Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano

May 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?