on air with millardayo

On Air: Sababu zinazowafanya Model wengi kunyoa nywele zao

on

Kwenye ON AIR WITH MILLARD AYO Leo March 21 2017 tupo na Mwanamitindo, Miriam Odemba ambaye amepiga story nyingi na Asteria Mvungi na katika maswali aliyojibu ni pamoja na kwanini models wengi wananyoa nywele?.. Sababu za kuolewa na mzungu  na mambo mengine mengi.

Ulimiss ‘Wimbo wangu wa Niambie sijamuimbia Wolper hii ni kwa ajili ya kila mtu’ Harmonize itazame hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments