Habari za Mastaa

Gigy Money na ishu ya Uchawi, ‘Nilirogwa na shoga yangu, nikaenda kwa mganga’

on

Msanii Gigy Money kaweka wazi kuwa alishawahi kwenda kwa mganga baada ya kurogwa na shoga yake na ndiomana huwa hapendi marafiki wa kike, Gigy amezungumza baada ya siku ya leo kufika BASATA na kujisajili rasmi kama msanii wa Bongo fleva.

>>>“Watu wote wanaendaga kwa Waganga na wangekuwa watu hawaendi waganga wasinge dumu, Mimi nilirogwa nilipigwa juju makini na shoga yangu Mimi ndiomana sitaki marafiki wa kike tena kwa Sababu mwanamke unakuwa naye kama rafiki alafu anataka kuwa wewe” Gigy Money

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza GIGY MONEY akizungumza.

 

GIGY MONEY KAJIPELEKA BASATA, KAELEZEA SABABU

Soma na hizi

Tupia Comments