Videos

VideoMPYA: Baada ya Director Nisher, itazame Arosto ya G Nako chini ya Hanscana

on

Mkali kutoka kampuni ya Weusi G Nako May 20 2016 ameingia kwenye headlines, baada ya kuachia video mpya ya hit Single yake ya Arosto, G Nako ameachia video hiyo aliyowashirikisha Chin Bees na member mwenzake kutoka kampuni ya Weusi Nikki wa II.

Video hii ya G Nako amefanya mara mbili baada ya video ya kwanza kufanya na Nisher na hii ya pili iliyoachiwa leo imefanywa na directora Hanscana, bonyeza HAPA kuona video ya Arosto iliyofanywa na Nisher. Unaweza kuenjoy hapa kwa kutazama dakika nne za video yenyewe iliyoachiwa leo.

KAMA ULIIKOSA HII YA SNURA KUZUNGUMZIA VIDEO YAKE YA CHURA KUFUNGIWA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments