Michezo

Pep Guardiola amethibitisha John Stones Out!!!

on

Club ya Man City inayofundishwa na kocha wake Pep Guardiola imethibitisha kupitia kocha wake huyo kuwa mchezaji wake John Stones ameumia misuli na atakuwa nje ya uwanja .

Pep Guardiola ameeleza kuwa mchezaji huyo atakosekana kwani ameumia mazoezini leo kuelekea game ya UEF Champions League dhidi ya Shakhtar Donesk “atakuwa  nje kwa mwezi au wiki nne hadi tano”

Taarifa hiyo inakuja wakiwa wanahaha kujua nani atakuwa mbadala wake ukizingatia Aymer Laporte aliyekuwa anaweza kuonekana kama mbadala atakuwa nje miezi sita akiuguza goti.

Soma na hizi

Tupia Comments