Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Pretty Kind kafunguka yaliyomsibu mpaka kuwa mlokole “Nilikuwa nadanga”

on

Mrembo Pretty Kind aliyekuwa akifanya muziki wa bongofleva hivi karibuni alitangaza kuokoa kupitia imani yake ya dini ya kikristo na kudai kuwa ameacha mambo aliyokuwa akifanya kwa kusema yalikuwa haya mpendezi Mungu, Pretty Kind amefunguka kupitia AyoTV na millardayo.com kuhusu kudanga na mengine ambayo alikuwa kiyafanya zamani.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA FULL VIDEO.

VIDEO: MENEJA MANENO NA LABEL MPYA ‘IS-BAH ENTERTAINMENT’, KAFUNGUKA

NYOSHI BAADA YA KUSIKIA MATOKEO YA UCHAGUZI CONGO “SIWEZI RUDI HAPA NDIYO NYUMBANI”

Soma na hizi

Tupia Comments